Breaking news:Mume wa Irene Uwoya afariki dunia

Aliyekuwa Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya na Mchezaji wa Burundi, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia.

Taarifa za kifo cha Ndikumana zimethibitishwa na Muigizaji Irene Uwoya.
Ndikumana na Uwoya walifunga ndoa Julai 2009 na walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume na kisha baadae kutengana.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

  • ()
Powered by Blogger.

Yaliyojiri leo

Tanzania yaanza majaribio dawa kinga ya Ukimwi

LIKE OUR FACEBOOK PAGE

Contact us

Name

Email *

Message *