NDOA ZA JINSIA MOJA KUFANYIKA HUKO NCHINI UJERUMANI

Ndoa za kwanza za wapenzi wa jinsia moja zimefanyika Ujerumani

Image result for single sex marriage in germany
Ndoa za wapenzi wa jinsia moja zimefanyika kwa mara ya kwanza nchini Ujerumani.
Wanaume wawili mjini Berlin ambao wamekuwa pamoja kwa miaka 38 walikuwa wa kwaza kufunga ndoa.
Wapenzi wa jinsia moja nchini Ujerumani wamekuwa wakisajili uhusiano wao tangu mwaka 2001, lakini ni kuanzia tu mwisho wa mwezi Juni ndipo bunge lilipiga kura ya kuwepo usawa wa ndoa.Kufunga ndoa kutawaruhusu wapenzi wa jinsia moja kunufaika na ulipaji kodi, kupanga watoto kama ndoa za kawaida kati ya mwanamume na mwanamke.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

  • ()
Powered by Blogger.

Yaliyojiri leo

Tanzania yaanza majaribio dawa kinga ya Ukimwi

LIKE OUR FACEBOOK PAGE

Contact us

Name

Email *

Message *